Font Size
Marko 4:22
Kwani kila kilichofichika kitafunuliwa, na kila kilicho cha siri kitatokea kweupe kwenye mwanga.
Hali kadhalika, kila kilichofichwa kitatolewa hadharani; na kila siri itafichuliwa.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica