Marko 13:30
Print
Ninawaambieni ukweli: Kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo haya yote hayajatokea.
Ninawaambieni hakika, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo haya kutokea.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica