Font Size
Luka 7:43
Simoni akajibu, “Nafikiri ni yule aliyekuwa anadaiwa fedha nyingi.” Yesu akamwambia, “Umejibu sawa.”
Simoni akajibu, “Nadhani ni yule aliyesame hewa deni kubwa zaidi.” Yesu akamwambia, “Umejibu sawa.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica