Ni kama watoto waliokaa sokoni. Kundi moja la watoto likawaita watoto wengine na kusema, ‘Tuliwapigia filimbi lakini hamkucheza. Tuliwaimba wimbo wa huzuni, lakini hamkulia.’
Wao wamefanana na watoto waliokaa sokoni wakijibizana na wenzao wakisema: ‘Tuliwaimbia nyimbo za shangwe, hamkucheza. Tuliwaimbia nyimbo za msiba, hamkuomboleza.’