Luka 6:20
Print
Yesu akawatazama wafuasi wake na kusema, “Heri ninyi mlio maskini. Maana Ufalme wa Mungu ni wenu.
Kisha akawatazama wanafunzi wake akasema, “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini kwa sababu Ufalme wa mbinguni ni wenu!
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica