Luka 21:27
Print
Kisha watu watamwona Mwana wa Adamu akija katika wingu mwenye nguvu na utukufu mwingi.
Ndipo wataniona mimi Mwana wa Adamu nikija katika wingu kwa uwezo na utukufu mkuu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica