Font Size
Luka 21:16
Hata wazazi wenu, ndugu zenu, jamaa, na marafiki watawageuka. Watawaua baadhi yenu.
Mtasalitiwa na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki na baadhi yenu mtauawa.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica