Luka 20:16
Print
Atakuja na atawaua wale wakulima, kisha atalikodisha shamba kwa wakulima wengine.” Watu waliposikia mfano huu, wakasema, “Hili lisije kutokea!”
Atakuja awaue awapatie watu wengine shamba hilo.” Watu waliposikia hayo wakasema, “Jambo hili lisi tokee!”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica