Luka 13:32
Print
Lakini Yesu akawaambia, “Nendeni, mkamwambie yule mbweha, ‘Leo na kesho ninatoa pepo wachafu na kuponya watu, na kesho kazi itakwisha.’
Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie yule mbweha: ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa leo na kesho, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica