Kwa mara nyingine Yesu akamwambia, “Simoni, mwana wa Yohana, unanipenda?” Petro akajibu, “Ndiyo, Bwana, wewe unajua kuwa nakupenda.” Kisha Yesu akasema, “Watunze kondoo wangu.”
Kwa mara nyingine Yesu akamwul iza Simoni Petro, “Simoni, mwana wa Yohana, unanipenda?” Petro akajibu, “Ndio Bwana, wewe unajua ya kuwa nakupenda.” Akamwam bia, “Chunga kondoo wangu.”