Yohana 14:30
Print
Sitaendelea kuongea nanyi kwa muda mrefu zaidi. Mtawala wa ulimwengu huu anakuja. Hata hivyo hana nguvu juu yangu.
Sitasema tena mengi nanyi kwa sababu mtawala wa dunia hii anakuja. Yeye hana uwezo juu yangu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica