Waebrania 8:8
Print
Lakini Mungu aligundua kitu kilichokuwa na kasoro kwa watu, akasema: “Wakati unakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na watu wa Israeli na watu wa Yuda.
Lakini Mungu hakurid hika na watu wake, akasema, “Siku zinakuja, asema Bwana, nitaka pofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica