Waefeso 4:7
Print
Kristo alimpa kila mmoja wetu karama. Kila mmoja alipokea kwa jinsi alivyopenda yeye kuwapa.
Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo alichogawiwa na Kristo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica