Matendo 4:26
Print
Wafalme wa dunia hujiandaa kwa mapigano, na watawala hukusanyika pamoja kinyume na Bwana na kinyume na Masihi wake.’
Wafalme wa dunia wamejiandaa na watawala wamekusanyika wampinge Bwana na Masihi wake.’
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica