Matendo 4:24
Print
Waamini waliposikia hili, wote kwa pamoja wakamwomba Mungu wakiwa na nia moja. Wakasema, “Bwana wa wote, wewe ndiye uliyeumba mbingu, dunia, bahari na kila kitu ulimwenguni.
Waamini wote waliposikia maneno yao walimwomba Mungu kwa pamoja wakasema, “Wewe Bwana Mtukufu, uliyeumba mbingu na nchi na bahari na kila kiumbe kilichopo,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica