Matendo 25:22
Print
Agripa akamwambia Festo, “Ningependa kumsikiliza mtu huyu pia.” Festo akasema, “Utaweza kumsikiliza kesho.”
Agripa akasema, “Ningependa nimsikilize mtu huyu mwenyewe.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica