Matendo 16:4
Print
Kisha Paulo na wale waliokuwa pamoja naye wakasafiri kupitia miji mingine. Wakawapa waamini kanuni na maamuzi yaliyofikiwa na mitume na wazee wa Yerusalemu. Wakawaambia wazitii kanuni hizo.
Walipokuwa wakipita katika miji mbali mbali waliwasilisha maamuzi ya baraza la mitume na wazee wa kanisa huko Yerusalemu ili wayazingatie.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica