Font Size
2 Timotheo 2:17
na mafundisho ya wale wanaoyachukua mafundisho hayo wanaenea kama saratani mwilini. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto,
Mafundisho yao yataendelea kuenea kama donda ndugu. Kati yao wamo Himenayo na Fileto
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica