2 Wakorintho 6:12
Print
Upendo wetu kwenu haujakoma. Ninyi ndiyo mliouzuia upendo wenu kwetu.
Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu usitufikie .
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica