1 Timotheo 1:4
Print
Uwaambie wasitumie muda wao kusimulia simulizi zisizo na maana za mambo ya kale na kutengeneza orodha ndefu ya mababu. Mambo hayo husababisha mabishano tu na hayaisaidii katika kuikamilisha kazi ya Mungu tuliyopewa, ambayo ni lazima tuikamilishe kwa imani.
Pia wasiendelee kupoteza wakati wao kwa hadithi na orodha ndefu zisizo na mwisho za majina ya vizazi ambazo huchochea mabishano badala ya kuwajenga katika maarifa ya kimungu yatokanayo na imani.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica