1 Timotheo 1:13
Print
Hapo zamani nilimtukana Kristo. Nikiwa mtu mwenye majivuno na mkorofi, niliwatesa watu wake. Lakini Mungu alinihurumia kwa sababu sikujua nilichokuwa nafanya. Nilifanya hayo kabla sijaamini.
Ingawa hapo mwanzo nilimkufuru na kumtesa na kumtukana, nili hurumiwa kwa sababu nilitenda hayo katika ujinga wangu na kutoku amini kwangu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica