1 Yohana 1:8
Print
Kama tukisema kuwa hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na tumeikataa kweli.
Tukisema kwamba hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe wala kweli haimo ndani yetu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica