Font Size
Verse of the Day
A daily inspirational and encouraging Bible verse.
Duration: 366 days
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Waefeso 2:8-9
8 Nina maana ya kuwa mmeokolewa kwa neema kwa sababu mliweka imani yenu kwake.[a] Hamkujiokoa ninyi wenyewe; bali ni zawadi kutoka kwa Mungu. 9 Msijisifu kwa kuwa hamkuokolewa kutokana na matendo yenu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International