Print Page Options
Previous Prev Day Next DayNext

Verse of the Day

A daily inspirational and encouraging Bible verse.
Duration: 366 days
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Version
Ufunuo 3:14

Barua ya Yesu kwa Kanisa la Laodikia

14 Andika hivi kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia:

Huu ni ujumbe kutoka kwa yeye aliye Amina,[a] shahidi mwaminifu na wa kweli, aliye chanzo cha uumbaji wa Mungu.

Ufunuo 3:20

20 Niko hapa! Nimesimama mlangoni nabisha hodi. Ikiwa utaisikia sauti yangu na ukaufungua mlango, nitaingia kwako na kula pamoja nawe. Nawe utakula pamoja nami.

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)

© 2017 Bible League International