Font Size
Verse of the Day
A daily inspirational and encouraging Bible verse.
Duration: 366 days
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Yakobo 1:2-3
Imani na Hekima
2 Kaka na dada zangu, jueni kuwa mtakutana na adha za kila aina. Lakini hilo liwape ninyi sababu ya kuwa na furaha zaidi. 3 Kwa sababu mnajua kuwa imani yenu inapojaribiwa ndipo mnapojifunza kuwa wavumilivu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International