59 Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika sina gogi huko Kapernaumu.

Wafuasi Wengi Wamwacha Yesu

60 Wengi wa wanafunzi wake waliosikia maneno haya walisema, “Mafundisho haya ni magumu! Ni nani awezaye kukubaliana nayo?”

61 Yesu alitambua kwamba wafuasi wake walikuwa wakilalamika kuhusu mafundisho yake. Kwa hiyo akawauliza, “Mafundisho haya yanawaudhi?

Read full chapter