Yohana 5
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu Amponya Mtu Penye Bwawa La Bethzatha
5 Baada ya haya, Yesu alikwenda tena Yerusalemu kuhudhuria sikukuu mojawapo ya Wayahudi. 2 Huko Yerusalemu, karibu na mlango uitwao Mlango wa Kondoo, pana bwawa moja ambalo kwa Kiebrania linaitwa Bethzatha ambalo lina baraza tano zenye safu za matao. 3 Wagonjwa wengi sana, vipofu, viwete, na waliopooza walingojea kwenye baraza hizo. Walikuwa wakisubiri maji yatibuliwe, [ 4 kwa maana malaika wa Bwana alikuja mara kwa mara akayatibua maji na yule aliyekuwa wa kwanza kuingia bwawani baada ya maji kutibuliwa alipona ugonjwa wo wote aliokuwa nao.]
5 Mmoja wa wagonjwa waliokuwepo alikuwa ameugua kwa muda wa miaka thelathini na minane. 6 Yesu alipomwona amelala hapo, na akijua kwamba amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, alimwul iza, “Unataka kupona?” 7 Yule mgonjwa akajibu, “Bwana, sina mtu wa kuniingiza bwawani maji yanapotibuliwa. Ninapoanza kwenda bwawani, mgonjwa mwingine huniwahi akaingia kabla yangu.” 8 Yesu akamwambia, “Simama, chukua mkeka wako, utembee!” 9 Mara moja yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea! Jambo hili lilitokea siku ya sabato. 10 Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni sabato. Huruhusiwi kubeba mkeka wako.”
11 Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chu kua mkeka wako utembee.”’
12 Wakamwuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako utembee?”
13 Yule mtu aliyeponywa hakufahamu ni nani aliyemponya kwa sababu palikuwa na umati mkubwa wa watu na Yesu alikuwa amepe nyezea humo akaondoka.
14 Baadaye Yesu alimkuta yule aliyemponya Hekaluni akamwam bia, “Sasa umepona. Angalia usitende dhambi tena usijepatwa na jambo baya zaidi.”
15 Yule mtu akaenda, akawaambia wale Wayahudi kuwa ni Yesu aliyemponya.
16 Kwa sababu Yesu alikuwa amemponya siku ya sabato, wal ianza kumsumbua. 17 Yesu akawaambia, “Baba yangu anafanya mema siku zote. Mimi pia sina budi kufanya mema.” 18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi. Wakajaribu kila njia wapate kumwua, kwa sababu, zaidi ya kuvunja sheria za sabato, alikuwa akijifanya sawa na Mungu kwa kujiita Mwana wa Mungu.
Mamlaka Ya Mwana
19 Yesu akawajibu, “Ninawaambia hakika, Mwana hawezi kufa nya jambo lo lote mwenyewe isipokuwa lile alilomwona Baba yake akifanya; na lo lote alifanyalo Baba, Mwana pia hulifanya. 20 Kwa kuwa Baba anampenda Mwana na anamwonyesha mambo yote afa nyayo; pia atamwonyesha hata mambo makubwa kuliko haya, ambayo yatawastaajabisha. 21 Kama vile Baba awafufuavyo wafu na kuwapa uzima, vivyo hivyo Mwana huwapa uzima wale awapendao. 22 Baba hamhukumu mtu ye yote, mamlaka ya kuhukumu amemwachia Mwana; 23 ili kila mtu amheshimu Mwana kama amheshimuvyo Baba. Ye yote anayekataa kumheshimu Mwana, anakataa kumheshimu Baba aliyemtuma. 24 Ninawaambia hakika, ye yote anayesikiliza maneno yangu na kumwamini yule aliyenituma, anao uzima wa milele na hatahukumiwa. Amevuka kutoka kwenye mauti, na kuingia katika uzima. 25 Nina waambia hakika, wakati utafika, tena umekwisha timia, ambapo wafu wataisikia sauti ya Mwana wa Mungu; na wote watakaoisikia wata kuwa hai. 26 Kama vile Baba alivyo chanzo cha uzima, hali kad halika amemwezesha Mwanae kuwa chanzo cha uzima. 27 Na amempa Mwanae mamlaka ya kuhukumu kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu.
28 “Msishangae kusikia haya. Wakati unakuja ambapo wafu wataisikia sauti yake, 29 nao watatoka makaburini; wale waliot enda mema watafufuka na kuwa hai, na wale waliotenda maovu, wata fufuka na kuhukumiwa. 30 Mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe. Mimi nahukumu kufuatana na jinsi Mungu anavyoniambia. Na hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufa nya nipendavyo, bali nafanya mapenzi yake yeye aliyenipeleka.”
Mashahidi Wa Yesu
31 “Kama ningekuwa najishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu usingekuwa na uzito. 32 Lakini yupo mwingine anishuhudiaye na ninafahamu kwamba ushuhuda wake ni wa kweli. 33 Mliwapeleka wajumbe wenu kwa Yohana, naye akashuhudia iliyo kweli. 34 Si kwamba ninategemea ushuhuda wa mwanadamu, la, bali ninalitaja hili kusudi ninyi mpate kuokolewa. 35 Yohana alikuwa taa iliy owaka na kuwaangazia, na kwa muda mlikubali kufurahia nuru yake.
36 “Lakini ninao ushuhuda mzito zaidi kuliko wa Yohana. Kazi ambayo Baba amenituma nikamilishe, naam , ishara hizi nina zofanya, zinashuhudia kuwa Baba ndiye aliyenituma. 37 Na Baba aliyenituma naye amenishuhudia. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuiona sura yake. 38 Wala ujumbe wake hamuupokei maana hamumwamini aliyemtuma.
39 “Mnasoma Maandiko kwa bidii kwa maana mnafikiri kuwa humo mtapata uzima wa milele. Maandiko hayo hayo ndio yanayonish uhudia mimi. 40 Lakini mnakataa kuja kwangu kupata uzima.
41 “Mimi sitafuti kutukuzwa na watu. 42 Lakini, ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu. 43 Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu na mnakataa kunipokea. Lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea. 44 Ndio maana hamwezi kuamini! Mnapenda sana kusifiana wenyewe kwa wenyewe wala ham jishughulishi kutafuta sifa kutoka kwake ambaye peke yake ndiye
Mungu!
45 “Msidhani kuwa mimi nitawashtaki kwa Baba. Anayewashtaki ni huyo Musa ambaye mnamwekea matumaini yenu. 46 Kama kweli mli kuwa mmemwamini Musa, mngaliniamini na mimi kwa maana aliandika kunihusu mimi. 47 Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Musa, mtaaminije ninayoyasema?”
John 5
Expanded Bible
Jesus Heals a Man at a Pool
5 ·Later [L After these things] Jesus went [L up] to Jerusalem for a ·special feast [L feast/festival of the Jews]. 2 In Jerusalem there is a pool with five covered porches, which is called Bethesda[a] [C a pool of water north of the temple thought to have curative powers] in the Hebrew language [C referring to Aramaic, the native language of the Jews at the time]. This pool is near the Sheep Gate. 3 Many sick people were lying on the porches beside the pool. Some were blind, some were crippled, and some were paralyzed |, and they waited for the water to move. 4 ·Sometimes [At a certain time; From time to time] an angel of the Lord came down to the pool and stirred up the water. After the angel did this, the first person to go into the pool was healed from any sickness he had|[b]. 5 A man was lying there who had been ·sick [an invalid; disabled] for thirty-eight years. 6 When Jesus saw the man and knew that he had been ·sick [an invalid; disabled] for such a long time, Jesus asked him, “Do you want to be well?”
7 The ·sick man [invalid] answered [him], “Sir, there is no one to help me get into the pool when the water ·starts moving [is stirred up]. While I am coming to the water, someone else always ·gets in [goes down] before me.”
8 Then Jesus said to him, “·Stand up [T Rise]. Pick up your ·mat [bed; cot] and walk.” 9 And immediately the man ·was well [was healed; became whole]; he picked up his ·mat [bed; cot] and began to walk.
The day this happened was a Sabbath day. 10 So the ·Jews [or Jewish leaders] said to the man who had been healed, “Today is the Sabbath. It is ·against our law [L not lawful/permitted] for you to carry your ·mat [bed; cot] on the Sabbath day [C the fourth commandment prohibited work on the Sabbath, but not specifically this action (Ex. 20:8–11)].”
11 But he answered them, “The man who made me well told me, ‘Pick up your ·mat [bed; cot] and walk.’”
12 Then they asked him, “Who is the man who told you to pick up your ·mat [bed; cot] and walk?”
13 But the man who had been healed did not know who it was, because there were many people in that place, and Jesus had ·left [withdrawn; slipped away unnoticed].
14 Later, Jesus found the man at the Temple [area] and said to him, “See, you are well now. ·Stop sinning [T Sin no more] so that something worse does not happen to you.” [C Sometimes, not always, suffering can be explained by sin.]
15 Then the man left and told ·his people [the Jewish leaders; L the Jews] that Jesus was the one who had made him well.
16 Because Jesus was doing ·this [L these things] on the Sabbath day, ·some evil people [the Jewish leaders; L the Jews] began to ·persecute [harass] him. 17 But Jesus ·said to [L answered] them, “My Father ·never stops [is always; is still] working [C even on the Sabbath], and so I keep working, too.”
18 This made ·them [the Jewish leaders; L the Jews] try still harder to kill him. They said, “First Jesus was breaking the law about the Sabbath day. Now he says that God is his own Father, making himself equal with God!” [C Both breaking the Sabbath and blasphemy against God were punishable by death; Ex. 35:2; Lev. 24:16.]
Jesus Has God’s Authority
19 But Jesus ·said [answered them], “·I tell you the truth [L Truly, truly I say to you], the Son can do nothing ·alone [on his own initiative; by himself]. The Son does only what he sees the Father doing, ·because the Son does whatever the Father does [L for whatever the Father does, the Son does likewise]. 20 [L For] The Father loves the Son and shows the Son all the things he himself does. But the Father will show the Son even greater things than this so that you can all ·be amazed [marvel; be astonished]. 21 [L For] Just as the Father raises the dead and gives them life, so also the Son gives life to those he ·wants to [wishes; wills]. 22 ·In fact, [or For] the Father judges no one, but he has ·given [entrusted to] the Son ·power to do all the judging [L all judgment; Rev. 20:11–15] 23 so that all people will honor the Son as much as they honor the Father. Anyone who does not honor the Son does not honor the Father who sent him.
24 “·I tell you the truth [L Truly, truly I say to you], whoever ·hears [obeys] ·what I say [L my word/message] and believes in the One who sent me has eternal life. That person will not ·be judged guilty [L come into judgment/condemnation] but has ·already left death and entered life [L passed from death into life]. 25 ·I tell you the truth [L Truly, truly I say to you], the ·time [L hour] is coming and is already here when the dead will ·hear [obey] the voice of the Son of God, and those who ·hear [obey] will ·have life [live]. 26 [L For] ·Life comes from the Father himself [just as the Father has life], ·and [so] he has ·allowed the Son to have [given the Son] life in himself as well. 27 And the Father has given the Son the ·approval [authority; power; right] to ·judge [execute judgment], because he is the Son of Man [C a title for the Messiah; Dan. 7:13–14]. 28 Don’t ·be surprised [marvel; be amazed] at this: A ·time [L hour] is coming when all who are dead and in their graves will hear his voice. 29 Then they will come out of their graves. Those who did good ·will rise and have life forever [L to the resurrection resulting in life], but those who did evil ·will rise to be judged guilty [L to the resurrection resulting in condemnation/judgment].
Jesus Is God’s Son
30 “I can do nothing ·alone [by myself; on my own initiative]. I judge ·only the way I am told [L as I hear], so my judgment is ·fair [just; right; righteous]. I don’t ·try to please myself [L seek my own will/desire], but ·I try to please [L the will of] the One who sent me.
31 “If only I ·tell people [testify; witness] about myself, ·what I say [my testimony; witness] is not ·true [valid]. 32 But there is another who ·tells [testifies; witnesses] about me, and I know that ·the things he says [L the witness/testimony he witnesses/testifies] about me are ·true [valid].
33 “You have sent people to John, and he has ·told you [testified/witnessed to] the truth. 34 It is not that I ·need [accept; depend on] ·what humans say [human testimony/witness]; I tell you this so you can be saved. 35 John was like a burning and shining lamp, and you were ·happy to enjoy [L willing to rejoice in] his light for a while.
36 “But I have a ·proof [testimony; witness] about myself that is ·greater [weightier] than that of John. [L For] The ·things [L works] I do, which are the ·things [L works] my Father gave me to ·do [complete; finish; C the signs and miracles which point to his saving work on the cross], ·prove [testify; witness] that the Father sent me. 37 And the Father himself who sent me has given ·proof [testimony; witness] ·about me [concerning me; on my behalf]. You have never heard his voice or seen ·what he looks like [his form; his outward appearance]. 38 His ·teaching [word; message] does not ·live [remain; abide] in you, because you don’t believe in the One the Father sent. 39 You ·carefully study [search; examine] the Scriptures because you think they give you eternal life. They do in fact ·tell [testify; witness] ·about me [concerning me; on my behalf], 40 but you ·refuse [do not want] to come to me to have that life.
41 “I don’t ·need [or accept; receive] ·praise [glory; honor] from people. 42 But I know you—I know that you don’t have God’s love in you. 43 I have come ·from my Father and speak for him [L in my Father’s name], ·but [or and] you don’t ·accept [receive] me. But when another person comes, ·speaking only for himself [L in his own name], you will ·accept [receive] him. 44 You try to ·get praise [receive glory/honor] from each other, but you do not try to ·get the praise [receive glory/honor] that comes from the only God. So how can you believe? 45 Don’t think that I will ·stand before the Father and say you are wrong [L accuse you before the Father]. The one who ·says you are wrong [L accuses you] is Moses, the one ·you hoped would save you [L in whom you hoped]. 46 [L For] If you really believed Moses, you would believe me, because Moses wrote about me [C in the Torah, the first five books of the OT; for example, Deut. 18:15 quoted in Acts 3:22]. 47 But if you don’t believe what Moses wrote, how can you believe what I say?”
John 5
EasyEnglish Bible
Jesus makes a man able to walk
5 Some time after that, Jesus went to Jerusalem, because it was time for one of the Jewish festivals.
2 There is a pool near the Sheep Gate in Jerusalem. Its name in the Jewish language is Bethesda. Round the pool, there is a building with five places that have a roof over them. 3 A large number of sick people were lying in these places. Some of them were blind. Some of them could not walk properly. Some of them could not move their legs or their arms. [[a] They were waiting for when the water started to move. 4 An angel would go down into the pool at certain times and move the water about. When that happened, all the sick people tried to get into the pool. The first person who got into the water became well, whatever his illness was.]
5 One man who was lying there had been ill for 38 years. 6 Jesus saw this man. He knew that the man had been ill like this for a very long time. So he asked the man, ‘Do you want to get well?’ 7 The sick man said, ‘Sir, I do not have anyone who will help me. I need somebody who will put me into the pool. When the water starts to move, I try to get in. But someone else always gets in before me.’ 8 Then Jesus said to him, ‘Stand up! Pick up your mat and walk.’ 9 The man became well immediately. He picked up his mat and he walked.
The day when this happened was a Jewish day of rest.[b] 10 Because of this, the Jewish leaders spoke to the man that Jesus had made well. They said to him, ‘You must not carry your mat on our day of rest. You are not obeying the rules.’ 11 The man replied, ‘The man who made me well said to me, “Pick up your mat and walk.” ’ 12 So they asked him, ‘Who is this man? Who said to you, “Pick up your mat and walk”?’ 13 The man did not know who had made him well. Jesus had gone away and joined the crowd that was there.
14 Some time after that, Jesus found the man in the temple. Jesus said to him, ‘See, you have become well. Stop doing wrong things. If you do not stop, something worse may happen to you.’ 15 Then the man went to the Jewish leaders. He told them that it was Jesus who had made him well. 16 The Jewish leaders were angry because Jesus had made a man well on their day of rest.[c] As a result, they began to cause a lot of trouble for Jesus. 17 But Jesus said to them, ‘My Father is still working, and I too must work.’ 18 Because Jesus said this, the Jewish leaders became really angry. They wanted even more to kill him. Jesus not only worked on the day of rest. He was also calling God his own Father, so he was making himself equal with God.
19 Jesus answered them, ‘I tell you this: The Son can do nothing by himself. He sees what the Father does, and he can do only those same things. What the Father does, the Son also does. 20 The Father loves the Son. He shows the Son all the things that he himself does. And the Father will show the Son even greater things to do than these. Those greater things will surprise you even more than what you have already seen. 21 The Father raises dead people to make them alive again. In the same way, the Son gives life to whoever he chooses. 22 More than that, the Father does not judge anyone. He has given authority to the Son, so that the Son will judge all people. 23 Then all people will respect the Son as a great person. They will respect him in the way that they respect the Father. The Father sent the Son. So if people refuse to respect the Son, it shows that they do not respect the Father either.
24 I tell you this: Everyone who hears my message should believe in the Father who sent me. If they believe in me, they will have life for ever with God. God will not say that they are guilty. They are no longer under the power of death. Instead, they have life with God.
25 I tell you this: A time will soon come when those who are dead in their spirits will hear the voice of the Son of God. Yes, it is that time already. Those people who hear that message will receive true life. 26 The Father himself can give people life. In the same way, he has given authority to the Son to give people life. 27 The Father has also given authority to the Son to judge people. That is because I am the Son of Man. 28 Do not be surprised by this. There will be a time when all the dead people will hear the Son's voice. 29 They will come out from under the ground. Those people who have done good things will rise from death and they will live with God. Those people who have done evil things will also rise from death. But they will rise so that God can punish them as guilty people.’
The Father shows who Jesus really is
30 Then Jesus said, ‘I can do nothing by myself. I hear what the Father says to me. Then, because of what he says, I judge people. So I judge in a way that is fair. I am not trying to do what I want for myself. The Father sent me, and I want to do what he wants. 31 If I say great things about myself, nobody would know that my words are true. 32 But there is someone else who speaks about me. I know that what he says about me is true. 33 You have sent your people to ask John about me. What he has told you about me is true. 34 I do not need any man to speak on my behalf. But I am telling you this to help you. Then God will be able to save you. 35 John was like a light that shone brightly. For a certain time, you enjoyed the light that he gave.
36 But it is not only John who shows who I am. There are other things that show it more strongly. My Father has given work to me so that I could finish it. These are the things that I do, and they show who I am. They show clearly that the Father has sent me. 37 Also, the Father himself has spoken about me. You have never heard his voice. And you have never seen his shape. 38 I am the one that he has sent. You do not receive his message because you do not believe in me. 39 You study carefully what the Bible teaches. You think that those books will give you life with God. And it is true, those books do speak about who I am. 40 But then you refuse to come to me so that you may have life with God!
41 I do not think that it is important for people to praise me. 42 But I know what kind of people you are. I know that you do not really love God. 43 I have come with my Father's authority, but you do not accept me. But if someone else comes with his own authority, then you will accept him. 44 You like to praise each other. That makes you happy. But what about God himself? You do not try to do good things so that he will praise you. That is why you will never believe in me.
45 But I will not have to tell the Father that you are guilty. No, it is Moses who will do that. You think that Moses is the one who will show that you are right. But he is the one who will show that you are guilty. 46 Moses wrote about me. So, if you had really believed Moses, you would believe me. 47 But you do not believe what Moses wrote.[d] So you will never believe what I say.’
Footnotes
- 5:3 These words are not in all the copies of John's Gospel.
- 5:9 The Jewish day of rest was the seventh day of the week (Saturday). God had said that Israel's people must not work on that day.
- 5:16 Jesus was obeying his Father, God. And God chose to make the man well on the Jewish day of rest. The man was not really working when he carried his mat. It was not a big heavy thing.
- 5:47 The first five books of the Old Testament in the Bible are called the books of Moses.
John 5
New International Version
The Healing at the Pool
5 Some time later, Jesus went up to Jerusalem for one of the Jewish festivals. 2 Now there is in Jerusalem near the Sheep Gate(A) a pool, which in Aramaic(B) is called Bethesda[a] and which is surrounded by five covered colonnades. 3 Here a great number of disabled people used to lie—the blind, the lame, the paralyzed. [4] [b] 5 One who was there had been an invalid for thirty-eight years. 6 When Jesus saw him lying there and learned that he had been in this condition for a long time, he asked him, “Do you want to get well?”
7 “Sir,” the invalid replied, “I have no one to help me into the pool when the water is stirred. While I am trying to get in, someone else goes down ahead of me.”
8 Then Jesus said to him, “Get up! Pick up your mat and walk.”(C) 9 At once the man was cured; he picked up his mat and walked.
The day on which this took place was a Sabbath,(D) 10 and so the Jewish leaders(E) said to the man who had been healed, “It is the Sabbath; the law forbids you to carry your mat.”(F)
11 But he replied, “The man who made me well said to me, ‘Pick up your mat and walk.’ ”
12 So they asked him, “Who is this fellow who told you to pick it up and walk?”
13 The man who was healed had no idea who it was, for Jesus had slipped away into the crowd that was there.
14 Later Jesus found him at the temple and said to him, “See, you are well again. Stop sinning(G) or something worse may happen to you.” 15 The man went away and told the Jewish leaders(H) that it was Jesus who had made him well.
The Authority of the Son
16 So, because Jesus was doing these things on the Sabbath, the Jewish leaders began to persecute him. 17 In his defense Jesus said to them, “My Father(I) is always at his work(J) to this very day, and I too am working.” 18 For this reason they tried all the more to kill him;(K) not only was he breaking the Sabbath, but he was even calling God his own Father, making himself equal with God.(L)
19 Jesus gave them this answer: “Very truly I tell you, the Son can do nothing by himself;(M) he can do only what he sees his Father doing, because whatever the Father does the Son also does. 20 For the Father loves the Son(N) and shows him all he does. Yes, and he will show him even greater works than these,(O) so that you will be amazed. 21 For just as the Father raises the dead and gives them life,(P) even so the Son gives life(Q) to whom he is pleased to give it. 22 Moreover, the Father judges no one, but has entrusted all judgment to the Son,(R) 23 that all may honor the Son just as they honor the Father. Whoever does not honor the Son does not honor the Father, who sent him.(S)
24 “Very truly I tell you, whoever hears my word and believes him who sent me(T) has eternal life(U) and will not be judged(V) but has crossed over from death to life.(W) 25 Very truly I tell you, a time is coming and has now come(X) when the dead will hear(Y) the voice of the Son of God and those who hear will live. 26 For as the Father has life in himself, so he has granted the Son also to have life(Z) in himself. 27 And he has given him authority to judge(AA) because he is the Son of Man.
28 “Do not be amazed at this, for a time is coming(AB) when all who are in their graves will hear his voice 29 and come out—those who have done what is good will rise to live, and those who have done what is evil will rise to be condemned.(AC) 30 By myself I can do nothing;(AD) I judge only as I hear, and my judgment is just,(AE) for I seek not to please myself but him who sent me.(AF)
Testimonies About Jesus
31 “If I testify about myself, my testimony is not true.(AG) 32 There is another who testifies in my favor,(AH) and I know that his testimony about me is true.
33 “You have sent to John and he has testified(AI) to the truth. 34 Not that I accept human testimony;(AJ) but I mention it that you may be saved.(AK) 35 John was a lamp that burned and gave light,(AL) and you chose for a time to enjoy his light.
36 “I have testimony weightier than that of John.(AM) For the works that the Father has given me to finish—the very works that I am doing(AN)—testify that the Father has sent me.(AO) 37 And the Father who sent me has himself testified concerning me.(AP) You have never heard his voice nor seen his form,(AQ) 38 nor does his word dwell in you,(AR) for you do not believe(AS) the one he sent.(AT) 39 You study[c] the Scriptures(AU) diligently because you think that in them you have eternal life.(AV) These are the very Scriptures that testify about me,(AW) 40 yet you refuse to come to me(AX) to have life.
41 “I do not accept glory from human beings,(AY) 42 but I know you. I know that you do not have the love of God in your hearts. 43 I have come in my Father’s name, and you do not accept me; but if someone else comes in his own name, you will accept him. 44 How can you believe since you accept glory from one another but do not seek the glory that comes from the only God[d]?(AZ)
45 “But do not think I will accuse you before the Father. Your accuser is Moses,(BA) on whom your hopes are set.(BB) 46 If you believed Moses, you would believe me, for he wrote about me.(BC) 47 But since you do not believe what he wrote, how are you going to believe what I say?”(BD)
Footnotes
- John 5:2 Some manuscripts Bethzatha; other manuscripts Bethsaida
- John 5:4 Some manuscripts include here, wholly or in part, paralyzed—and they waited for the moving of the waters. 4 From time to time an angel of the Lord would come down and stir up the waters. The first one into the pool after each such disturbance would be cured of whatever disease they had.
- John 5:39 Or 39 Study
- John 5:44 Some early manuscripts the Only One
Copyright © 1989 by Biblica
The Expanded Bible, Copyright © 2011 Thomas Nelson Inc. All rights reserved.
EasyEnglish Bible Copyright © MissionAssist 2019 - Charitable Incorporated Organisation 1162807. Used by permission. All rights reserved.
Holy Bible, New International Version®, NIV® Copyright ©1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.® Used by permission. All rights reserved worldwide.
NIV Reverse Interlinear Bible: English to Hebrew and English to Greek. Copyright © 2019 by Zondervan.
