Font Size
Yohana 4:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
38 Niliwatuma mkavune mazao ambayo hamkupanda, wengine walifanya kazi hiyo; ninyi mmefaidika kutokana na jasho lao!”
39 Wasamaria wengi walimwamini kutokana na ushuhuda wa yule mama alipowaambia kwamba, “Ameniambia mambo yote niliyowahi kutenda.” 40 Kwa hiyo wale Wasamaria walipokuja, walimsihi akae kwao, naye akakaa kwa siku mbili.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica