Add parallel Print Page Options

30 Hivyo wale watu wakatoka mjini wakaenda kumwona Yesu!

31 Wakati huyo mwanamke akiwa mjini, wafuasi wa Yesu wakamsihi Bwana wao wakamwambia, “Mwalimu, ule chakula chochote.”

32 Lakini Yesu akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkijui.”

Read full chapter