Font Size
Yohana 4:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
26 Yesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye Masihi.”
Masihi.”
27 Wakati huo wanafunzi wake wakarudi, wakashangaa sana kum wona akizungumza na mwanamke. Lakini hakuna aliyemwuliza, “Unataka nini kwake?” au “Kwa nini unazungumza naye?”
28 Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaam bia watu,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica