Font Size
Yohana 4:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
23 Lakini wakati unakuja, tena umekwisha timia, ambapo wale wanaoabudu inavyostahili watamwabudu Baba katika roho na kweli. Watu wanaoabudu kwa njia hii ndio anaowataka Baba. 24 Mungu ni roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.” 25 Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masihi, aitwaye Kristo, anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica