Font Size
Yohana 4:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Ninyi Wasamaria mnaabudu msichokijua. Sisi Wayahudi tunamwab udu Mungu tunayemjua kwa sababu wokovu unatoka kwa Wayahudi. 23 Lakini wakati unakuja, tena umekwisha timia, ambapo wale wanaoabudu inavyostahili watamwabudu Baba katika roho na kweli. Watu wanaoabudu kwa njia hii ndio anaowataka Baba. 24 Mungu ni roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica