Add parallel Print Page Options

15 Kisha kila anayemwamini aweze kuupata uzima wa milele.[a]

16 Kweli, hivi ndivyo Mungu alivyouonyesha upendo wake mkuu kwa ulimwengu: akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu anayemwamini asiharibiwe na mauti bali aupate uzima wa milele. 17 Mungu alimtuma Mwanawe ili kuuokoa ulimwengu. Hakumtuma kuja kuuhukumu na kuuweka hatiani, bali kuuokoa kwa njia ya mwanawe.

Read full chapter

Footnotes

  1. 3:15 Wataalamu wengine wanafikiri kwamba maneno ya Yesu kwa Nikodemo yanaendelea hadi mstari wa 21.