Font Size
Yohana 19:34-35
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 19:34-35
Neno: Bibilia Takatifu
34 Ila askari mmoja akamchoma mkuki ubavuni, na mara pakatoka damu na maji. 35 Mambo haya yamehakikishwa na mtu aliyeyaona, na ushahidi wake ni wa kuaminika. Yeye anajua ya kuwa aliyosema ni kweli, naye ametoa ushuhuda huu ili nanyi mpate kuamini.
Read full chapter

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica