Font Size
Yohana 19:2-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 19:2-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
2 Askari wakatengeneza taji kutokana na matawi yenye miiba na kuiweka kichwani kwake. Kisha wakamzungushia vazi la rangi ya zambarau mwilini mwake. 3 Wakaendelea kumkaribia wakisema, “Salamu kwako mfalme wa Wayahudi!” Kisha wakampiga Yesu usoni.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International