Font Size
Yohana 14:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 14:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
Ahadi Ya Kupewa Roho Mtakatifu
15 “Kama mnanipenda mtatimiza amri zangu. 16 Nami nitam womba Baba, naye atawapeni Msaidizi mwingine akae nanyi siku zote. 17 Huyo ndiye Roho wa Kweli ambaye watu wasioamini hawawezi kumpokea. Watu kama hao hawamwoni wala hawamfahamu. Ninyi mnamfahamu kwa kuwa anakaa ndani yenu na ataendelea kuwa nanyi.
Read full chapter

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica