43 Wao walithamini zaidi sifa za watu kuliko sifa kutoka kwa Mungu.

Amwaminiye Yesu Hatabaki Gizani

44 Yesu akasema kwa sauti kuu, “Mtu anayeniamini mimi, anamwamini Mungu aliyenituma. 45 Na mtu anayeniona mimi, anam wona yeye ali yenituma.

Read full chapter