Add parallel Print Page Options

35 Kisha Yesu akasema, “Nuru[a] itabaki pamoja nanyi kwa muda mfupi tu. Kwa hiyo mtembee mkiwa bado na hiyo nuru. Hapo giza[b] halitaweza kuwakamata. Watu wanaotembea gizani hawajui kule wanakoenda.

Read full chapter

Footnotes

  1. 12:35 Nuru Ina maana ya Kristo, kama katika Yh 1:5-9. Pia ni ishara ya wema na kweli unahusiana na Kristo na ufalme wake.
  2. 12:35 giza Giza au usiku ni ishara ya aina zote za mambo yanayoueleza ufalme wa Shetani, kama vile dhambi na maovu.

36 Hivyo wekeni matumaini yenu katika nuru wakati bado mkiwa nayo. Jinsi hiyo mtakuwa watoto wa nuru.” Yesu alipomaliza kusema mambo hayo, aliondoka na kwenda mahali ambapo watu wasingeweza kumwona.

Read full chapter