Yesu Analia

28 Baada ya kusema haya Martha alikwenda akamwita Mariamu kando akamwambia, “Mwalimu amefika na anakuita.” 29 Mariamu akaondoka upesi akaenda alipokuwa Yesu. 30 Yesu alikuwa bado hajaingia kijijini. Alikuwa bado yuko pale Martha alipokutana naye.

Read full chapter