Font Size
Yohana 1:42-44
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 1:42-44
Neno: Bibilia Takatifu
42 Andrea akampeleka Simoni kwa Yesu. Yesu akamtazama, akasema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohana; sasa utaitwa Kefa.” Tafsiri ya Kefa kwa Kigiriki ni Petro, maana yake ‘Mwamba’.
Yesu Anawaita Filipo Na Nathanaeli
43 Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Akakutana na Filipo, akamwambia, “Nifuate.” 44 Filipo alikuwa mwenyeji wa Bethsaida, mji ambapo Andrea na Petro walikuwa wanaishi.
Read full chapter

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica