Add parallel Print Page Options

16 Alikuwa amejaa neema na kweli ya Mungu,
    tulipokea kutoka baraka moja
    baada ya nyingine[a] kutoka kwake.
17 Hiyo ni kusema kuwa,
    sheria ililetwa kwetu kupitia Musa.
Lakini neema na kweli imekuja
    kupitia Yesu Kristo.
18 Hakuna aliyewahi kumwona Mungu
    isipokuwa Mwana peke yake,
ambaye yeye mwenyewe ni Mungu,
    ametuonesha jinsi Mungu alivyo.
Yuko karibu sana na Baba
    kiasi kwamba tunapomwona,
    tumemwona Mungu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:16 baraka moja baada ya nyingine Kwa maana ya kawaida, “neema juu ya neema”.