Font Size
Yakobo 3:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 3:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Aina Mbili Za Hekima
13 Ni nani miongoni mwenu aliye na hekima na ufahamu? Basi aonyeshe hayo kwa maisha yake mazuri na kwa matendo yake anayot enda kwa unyenyekevu utokanao na hekima. 14 Lakini ikiwa mna wivu wenye chuki na kufikiria mno maslahi yenu binafsi, msiji sifie hayo wala kuikataa kweli. 15 Hekima ya namna hiyo haishuki kutoka mbinguni bali ni ya kidunia; si hekima ya kiroho bali ni ya shetani.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica