Warumi 8
Neno: Bibilia Takatifu
Maisha Ya Kiroho
8 Kwa hiyo basi, sasa hakuna tena hukumu kwa wale walio ndani ya Kristo Yesu. 2 Kwa maana sheria ya Roho wa uzima katika Kristo Yesu imeniweka huru kutokana na sheria ya dhambi na mauti. 3 Mungu amefanya lile ambalo sheria ilishindwa kufanya kwa sababu ya udhaifu wa mwili wetu wa asili. Mungu aliihukumu dhambi kwa kumtuma Mwana wake wa pekee katika hali ya mwili kama sisi, ili awe sadaka kwa ajili ya dhambi. 4 Kwa kufanya hivyo, Mungu ametutimizia matakwa ya haki ya sheria kwa kuwa sasa maisha yetu yanaongozwa na Roho na wala hatuishi tena kwa kufuata mata kwa ya mwili.
5 Kwa maana wale waishio kwa kuongozwa na asili yao ya dhambi, hukaza mawazo yao kwenye mambo ya mwili; bali wale waishio kwa kuongozwa na Roho hukaza mawazo yao katika mambo ya Roho. 6 Matokeo ya mawazo yaliyotawaliwa na tamaa za mwili ni kifo lakini mawazo yaliyotawaliwa na Roho huleta uzima na amani. 7 Watu wenye mawazo yaliyotawaliwa na mambo ya mwili ni adui wa Mungu. Watu kama hao hawakubali kutii sheria ya Mungu, na kwa kweli hawawezi. 8 Watu wanaotawaliwa na mwili, hawawezi kum pendeza Mungu .
9 Lakini ninyi hamuishi kwa kufuata matakwa ya mwili, bali mnaongozwa na Roho; ikiwa kweli Roho wa Mungu anaishi ndani yenu. Mtu ye yote ambaye hana Roho wa Kristo, yeye si wa Kristo. 10 Lakini kama Kristo anaishi ndani yenu, ingawa miili yenu imekufa kwa sababu ya dhambi, roho zenu zinaishi kwa sababu mmek wisha kuhesabiwa haki. 11 Na ikiwa Roho wa Mungu ambaye alimfu fua Yesu kutoka kwa wafu anaishi ndani yenu, Mungu aliyemfufua Kristo Yesu kutoka kwa wafu ataipatia uzima miili yenu ambayo hufa, kwa njia ya huyo Roho wake ambaye anaishi ndani yenu. 12 Kwa hiyo ndugu zangu, hatuwajibiki tena kuishi kama miili yetu inavyotaka. 13 Kwa maana mkiishi kama mwili unavyotaka mta kufa,lakini kama mkiangamiza matendo ya mwili kwa nguvu ya Roho, mtaishi.
14 Kwa maana wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu ni wana wa Mungu. 15 Hamkupewa Roho anayewafanya kuwa tena watumwa wa hofu. Lakini mmepokea Roho anayewafanya kuwa wana. Na kwa Roho huyo tunaweza kumwita Mungu, “Abba! Baba!” 16 Ni Roho mwenyewe anayeshuhudia pamoja na roho zetu kwamba sisi ni wana wa Mungu. 17 Na ikiwa sisi ni wana, basi tu warithi. Sisi ni warithi wa Mungu tutakaorithi pamoja na Kristo iwapo tutateseka pamoja naye ili pia tutukuzwe pamoja naye.
Utukufu Ujao
18 Nayahesabu mateso tunayopata sasa kuwa si kitu yakilin ganishwa na utukufu utakaodhihirishwa kwetu. 19 Viumbe vyote vinangoja kwa hamu kudhihirishwa kwa wana wa Mungu. 20 Kwa maana viumbe vilifanywa kuwa duni kabisa, si kwa kupenda kwake, bali kwa mapenzi ya Mungu; hata hivyo kulikuwa na matumaini 21 kwamba siku moja viumbe vyote vitawekwa huru kutoka katika utumwa wa kuharibika na vipewe uhuru na utukufu wa watoto wa Mungu.
22 Tunajua kwamba mpaka sasa viumbe vyote vimekuwa vikilia kwa uchungu mkali kama ule wa uzazi. 23 Na si hivyo tu, hata sisi ambao tuna matunda ya kwanza ya Roho tunalia kwa uchungu tukisu biri kwa hamu kufanywa kuwa wana wa Mungu, miili yetu itakapowek wa huru kabisa.
24 Kwa maana tuliokolewa kwa tumaini hili. Lakini kama kinachotumainiwa kikionekana hakiwi tumaini tena. Je, kuna mtu anayetumaini kupata kitu alichonacho? 25 Lakini tunapotumaini kupata kitu ambacho hatunacho, basi tunakingoja kwa subira.
26 Hali kadhalika Roho hutusaidia katika udhaifu wetu. Kwa sababu hatujui kuomba ipasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa uchungu usioelezeka kwa maneno. 27 Na Mungu ambaye ana chunguza mioyo yetu anafahamu mawazo ya Roho kwa maana Roho huwaombea watakatifu kufuatana na mapenzi ya Mungu. 28 Nasi tunajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hutenda kazi pamoja na wote wampendao, wale ambao wameitwa kufuatana na mapenzi yake. Mungu hufanya hivyo kwa faida yao. 29 Wale ambao Mungu alikwisha kuwachagua tangu mwanzo, pia aliwateua wafanane na Mwanae, ili Mwana awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi. 30 Na wale ambao Mungu aliwateua tangu awali pia ali waita; na wale aliowaita pia aliwahesabia haki; na wale aliowahesabia haki aliwapa utukufu wake.
Upendo Wa Mungu
31 Tuseme nini basi kuhusu haya yote? Ikiwa Mungu yuko upande wetu ni nani atakayetupinga? 32 Ikiwa Mungu hakumwacha Mwanae bali alimtoa kwa ajili yetu sote, hatatupatia pamoja na Mwanae, vitu vyote? 33 Ni nani atawashtaki wale ambao Mungu amewachagua? Ni Mungu mwenyewe ambaye anawahesabia kuwa hawana hatia. 34 Ni nani basi atakayewahukumu? Yesu Kristo mwenyewe ndiye aliyekufa, na zaidi ya hayo, yeye ndiye aliyefufuliwa akawa hai, na ambaye sasa amekaa upande wa kulia wa Mungu, naye anatuombea. 35 Ni nani atakayetutenganisha na upendo wa Kristo? Ni shida? Au taabu? Au mateso? Au njaa? Au umaskini? Au hatari? Au Kifo? Hapana. 36 Kama Maandiko yasemavyo: “Kwa aji li yako tunauawa mchana kutwa, tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.” 37 Lakini katika mambo yote haya sisi ni washi ndi, naam, na zaidi ya washindi, tukiwa ndani yake yeye aliyetu penda. 38 Kwa maana nina hakika kuwa, si kifo wala uzima; si malaika wala mashetani; si mambo ya sasa wala mambo yajayo au mamlaka nyingineyo yote; 39 si mambo yaliyo juu wala yaliyo chi ni sana; wala hakuna kitu kingine cho chote kati ya vitu vyote alivyoumba Mungu kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu ulio ndani ya Kristo Yesu Bwana wetu.
Romans 8
English Standard Version
Life in the Spirit
8 There is therefore now no condemnation for those who are in Christ Jesus.[a] 2 For the law of (A)the Spirit of life (B)has set you[b] free in Christ Jesus from the law of sin and death. 3 For (C)God has done what the law, (D)weakened by the flesh, (E)could not do. (F)By sending his own Son (G)in the likeness of sinful flesh and (H)for sin,[c] he condemned sin in the flesh, 4 in order that (I)the righteous requirement of the law might be fulfilled in us, (J)who walk not according to the flesh but according to the Spirit. 5 For (K)those who live according to the flesh set their minds on (L)the things of the flesh, but those who live according to the Spirit set their minds on (M)the things of the Spirit. 6 For to set (N)the mind on the flesh is death, but to set the mind on the Spirit is life and peace. 7 For the mind that is set on the flesh is (O)hostile to God, for it does not submit to God's law; (P)indeed, it cannot. 8 Those who are in the flesh cannot please God.
9 You, however, are not in the flesh but in the Spirit, if in fact (Q)the Spirit of God dwells in you. (R)Anyone who does not have (S)the Spirit of Christ does not belong to him. 10 But if Christ is in you, although the body is dead because of sin, the Spirit is life because of righteousness. 11 If the Spirit of (T)him who raised Jesus from the dead dwells in you, he who raised Christ Jesus[d] from the dead will also give life to your mortal bodies (U)through his Spirit who dwells in you.
Heirs with Christ
12 So then, brothers,[e] we are debtors, (V)not to the flesh, to live according to the flesh. 13 For if you live according to the flesh you will die, but if by the Spirit you (W)put to death the deeds of the body, you will live. 14 For all who are (X)led by the Spirit of God are (Y)sons[f] of God. 15 For (Z)you did not receive (AA)the spirit of slavery to fall back into fear, but you have received the Spirit of (AB)adoption as sons, by whom we cry, (AC)“Abba! Father!” 16 (AD)The Spirit himself bears witness with our spirit that we are children of God, 17 and if children, then (AE)heirs—heirs of God and fellow heirs with Christ, (AF)provided we suffer with him in order that we may also be glorified with him.
Future Glory
18 For I consider that the sufferings of this present time (AG)are not worth comparing with the glory that is to be revealed to us. 19 For the creation waits with eager longing for (AH)the revealing of the sons of God. 20 For the creation (AI)was subjected to futility, not willingly, but (AJ)because of him who subjected it, in hope 21 that (AK)the creation itself will be set free from its bondage to corruption and obtain the freedom of the glory of the children of God. 22 For we know that (AL)the whole creation (AM)has been groaning together in the pains of childbirth until now. 23 And not only the creation, but we ourselves, who have (AN)the firstfruits of the Spirit, (AO)groan inwardly as (AP)we wait eagerly for adoption as sons, (AQ)the redemption of our bodies. 24 For (AR)in this hope we were saved. Now (AS)hope that is seen is not hope. For who hopes for what he sees? 25 But if we hope for what we do not see, we (AT)wait for it with patience.
26 Likewise the Spirit helps us in our weakness. For (AU)we do not know what to pray for as we ought, but (AV)the Spirit himself intercedes for us with groanings too deep for words. 27 And (AW)he who searches hearts knows what is (AX)the mind of the Spirit, because[g] the Spirit (AY)intercedes for the saints (AZ)according to the will of God. 28 And we know that for those who love God all things work together (BA)for good,[h] for (BB)those who are called according to his purpose. 29 For those whom he (BC)foreknew he also (BD)predestined (BE)to be conformed to the image of his Son, in order that he might be (BF)the firstborn among many brothers. 30 And those whom he predestined he also called, and those whom he called he also (BG)justified, and those whom he justified he also (BH)glorified.
God's Everlasting Love
31 What then shall we say to these things? (BI)If God is for us, who can be[i] against us? 32 (BJ)He who did not spare his own Son but (BK)gave him up for us all, how will he not also with him graciously give us all things? 33 Who shall bring any charge against God's elect? (BL)It is God who justifies. 34 (BM)Who is to condemn? Christ Jesus is the one who died—more than that, who was raised—(BN)who is at the right hand of God, (BO)who indeed is interceding for us.[j] 35 Who shall separate us from the love of Christ? Shall tribulation, or distress, or persecution, or famine, or nakedness, or danger, or sword? 36 As it is written,
(BP)“For your sake (BQ)we are being killed all the day long;
we are regarded as sheep to be slaughtered.”
37 No, in all these things we are more than (BR)conquerors through (BS)him who loved us. 38 For I am sure that neither death nor life, nor angels nor rulers, nor things present nor things to come, nor powers, 39 nor height nor depth, nor anything else in all creation, will be able to separate us from the love of God in Christ Jesus our Lord.
Footnotes
- Romans 8:1 Some manuscripts add who walk not according to the flesh (but according to the Spirit)
- Romans 8:2 Some manuscripts me
- Romans 8:3 Or and as a sin offering
- Romans 8:11 Some manuscripts lack Jesus
- Romans 8:12 Or brothers and sisters; also verse 29
- Romans 8:14 See discussion on “sons” in the Preface
- Romans 8:27 Or that
- Romans 8:28 Some manuscripts God works all things together for good, or God works in all things for the good
- Romans 8:31 Or who is
- Romans 8:34 Or Is it Christ Jesus who died… for us?
Abaruumi 8
Endagaano Enkadde nʼEndagaano Empya
Obulamu Obuva mu Mwoyo
8 (A)Noolwekyo abo abali mu Kristo Yesu, tebaliiko musango; abo abatagoberera kwegomba okw’omubiri wabula ne bagoberera Omwoyo. 2 (B)Kubanga etteeka ery’Omwoyo aleeta obulamu mu Kristo Yesu, lyannunula okuva mu tteeka ly’ekibi n’okufa. 3 (C)Amateeka ga Musa kye gataayinza kukola, olw’okunafuyizibwa omubiri, Katonda yakikola mu Mwana we yennyini bwe yamutuma mu kifaananyi ky’omubiri ogw’ekibi, n’asalira ekibi omusango mu mubiri. 4 (D)Ekyo kyabaawo, eby’obutuukirivu mu mateeka biryoke bituukirire mu ffe bwe tugondera Omwoyo, ffe abatatambulira mu mubiri naye abatambulira mu Mwoyo.
5 (E)Abo abalowooleza mu mubiri balowooza bintu bya mubiri, naye abalowooleza mu Mwoyo balowooza bya Mwoyo. 6 (F)Okulowooleza mu by’omubiri kwe kufa, naye okufugibwa Omwoyo bwe bulamu n’emirembe. 7 (G)Kubanga okulowooza eby’omubiri kya bulabe eri Katonda. Ebirowoozo eby’omubiri tebiyinza kuwulira mateeka ga Katonda. 8 N’abo abafugibwa omubiri tebayinza kusanyusa Katonda.
9 (H)Naye mmwe temufugibwa mubiri wabula mufugibwa Mwoyo, kubanga Omwoyo wa Katonda abeera mu mmwe. Era omuntu yenna bw’ataba na Mwoyo wa Kristo, oyo si wa Kristo. 10 (I)Era obanga Kristo ali mu mmwe, omubiri gwammwe mufu olw’ekibi, ate ng’omwoyo gwammwe mulamu olw’obutuukirivu. 11 (J)Era obanga Omwoyo w’oyo eyazuukiza Yesu okuva mu bafu abeera mu mmwe, oyo eyazuukiza Kristo mu bafu, alifuula emibiri gyammwe egifa okuba emiramu ku bw’Omwoyo we abeera mu mmwe.
12 Noolwekyo abooluganda tulina ebbanja, so si eri omubiri okugondera bye gutulagira. 13 (K)Kubanga bwe munaagobereranga omubiri, mugenda kufa. Naye bwe munnatta ebikolwa eby’omubiri, muliba balamu, 14 (L)kubanga abo bonna abakulemberwa Omwoyo wa Katonda be baana ba Katonda. 15 (M)Temwaweebwa mwoyo gwa buddu ate mutye, wabula mwaweebwa Omwoyo eyabafuula abaana, era ku bw’oyo tumukoowoola nti, “Aba, Kitaffe.” 16 (N)Omwoyo yennyini akakasiza wamu n’omwoyo waffe nga bwe tuli abaana ba Katonda. 17 (O)Kale nga bwe tuli abaana, tuli basika ba Katonda, era tulisikira wamu ne Kristo, bwe tubonaabonera awamu naye, tulyoke tuweerwe wamu naye ekitiibwa.
Ekitiibwa ekijja
18 (P)Okubonaabona kwe tubonaabona kaakano kutono nnyo bwe kugeraageranyizibwa n’ekitiibwa ekiritubikulirwa. 19 Ebitonde birindirira n’essuubi lingi ekiseera abaana ba Katonda lwe baliragibwa. 20 (Q)Kubanga ebitonde tebyafugibwa butaliimu nga byeyagalidde, wabula ku bw’oyo eyabifugisa, mu kusuubira. 21 (R)Ebitonde birifuulibwa bya ddembe okuva mu kufugibwa okuvunda ne bigabanira wamu n’abaana ba Katonda ekitiibwa eky’okuba mu ddembe.
22 (S)Tumanyi ng’ebitonde byonna bisinda era ne birumwa ng’omukazi alumwa okuzaala bw’abeera. 23 (T)Naye ate si ekyo kyokka, era naffe abalina ebibala ebibereberye eby’Omwoyo, naffe tusinda munda yaffe nga tulindirira okufuuka abaana, kwe kununulibwa kw’emibiri gyaffe. 24 (U)Twalokolebwa lwa ssuubi eryo. Naye essuubi erirabibwa si ssuubi; kubanga ani asuubira ky’alabako? 25 Naye bwe tusuubira kye tutalabako, tukirindirira n’okugumiikiriza.
26 (V)N’Omwoyo bw’atyo atubeera mu bunafu bwaffe. Tetumanyi kusaba nga bwe kitugwanira, naye Omwoyo yennyini atwegayiririra n’okusinda okutayogerekeka. 27 (W)Oyo akebera emitima, amanyi Omwoyo ky’alowooza, kubanga yeegayiririra abatukuvu ng’okusiima kwa Katonda bwe kuli. 28 (X)Era tumanyi nga eri abo abaagala Katonda, era abo abayitibwa ng’okuteesa kwe bwe kuli, ebintu byonna bibatuukako olw’obulungi. 29 (Y)Kubanga abo be yamanya olubereberye, yabalonda okufaananyizibwa mu kifaananyi ky’Omwana we, ye abeerenga omubereberye mu booluganda abangi. 30 (Z)Abo be yalonda, n’okubayita yabayita, n’abo be yayita, yabawa obutuukirivu, n’abo be yawa obutuukirivu yabagulumiza.
31 (AA)Kale tunaagamba ki ku bintu bino? Katonda bw’abeera ku lwaffe, ani asobola okutulwanyisa? 32 (AB)Oyo ataasaasira Mwana we ye, naye n’amuwaayo ku lwaffe ffenna, talituwa buwi bintu byonna awamu naye? 33 (AC)Ani aliroopa abalonde ba Katonda? Katonda y’awa obutuukirivu. 34 (AD)Ani alibasalira omusango? Kristo Yesu yafa, kyokka okusinga byonna yazuukizibwa, era ali ku mukono ogwa ddyo ogwa Katonda, ng’atwegayiririra. 35 (AE)Ani alitwawukanya n’okwagala kwa Kristo? Kubonaabona, oba bulumi, oba kuyigganyizibwa, oba njala, oba kuba bwerere, oba kabi, oba kitala? 36 (AF)Kyawandiikibwa nti:
“Ku lulwo tutiisibwatiisibwa n’okuttibwa obudde okuziba,
era tubalibwa ng’endiga ez’okusalibwa.”
37 (AG)Naye mu bino byonna tuwangudde n’okukirawo ku bw’oyo eyatwagala. 38 (AH)Kubanga nkakasiza ddala nga newaakubadde okufa, wadde obulamu, wadde bamalayika, wadde abafuzi, wadde ebiriwo, wadde ebigenda okujja, wadde amaanyi, 39 (AI)wadde obugulumivu, wadde okukka wansi, wadde ekitonde ekirala kyonna, tewali kiriyinza kutwawukanya n’okwagala kwa Katonda okuli mu Kristo Yesu Mukama waffe.
Romans 8
New American Bible (Revised Edition)
Chapter 8
The Flesh and the Spirit.[a] 1 Hence, now there is no condemnation for those who are in Christ Jesus. 2 For the law of the spirit of life in Christ Jesus has freed you from the law of sin and death.(A) 3 For what the law, weakened by the flesh, was powerless to do, this God has done: by sending his own Son in the likeness of sinful flesh and for the sake of sin, he condemned sin in the flesh,(B) 4 so that the righteous decree of the law might be fulfilled in us, who live not according to the flesh but according to the spirit.(C) 5 For those who live according to the flesh are concerned with the things of the flesh, but those who live according to the spirit with the things of the spirit. 6 The concern of the flesh is death, but the concern of the spirit is life and peace.(D) 7 For the concern of the flesh is hostility toward God; it does not submit to the law of God, nor can it;(E) 8 and those who are in the flesh cannot please God.(F) 9 But you are not in the flesh; on the contrary, you are in the spirit, if only the Spirit of God dwells in you. Whoever does not have the Spirit of Christ does not belong to him.(G) 10 But if Christ is in you, although the body is dead because of sin, the spirit is alive because of righteousness.(H) 11 If the Spirit of the one who raised Jesus from the dead dwells in you, the one who raised Christ from the dead will give life to your mortal bodies also, through his Spirit that dwells in you. 12 Consequently, brothers, we are not debtors to the flesh, to live according to the flesh. 13 For if you live according to the flesh, you will die, but if by the spirit you put to death the deeds of the body, you will live.(I)
Children of God Through Adoption.[b] 14 For those who are led by the Spirit of God are children of God.(J) 15 For you did not receive a spirit of slavery to fall back into fear, but you received a spirit of adoption, through which we cry, “Abba,[c] Father!”(K) 16 The Spirit itself bears witness with our spirit that we are children of God,(L) 17 and if children, then heirs, heirs of God and joint heirs with Christ, if only we suffer with him so that we may also be glorified with him.(M)
Destiny of Glory.[d] 18 I consider that the sufferings of this present time are as nothing compared with the glory to be revealed for us.(N) 19 For creation awaits with eager expectation the revelation of the children of God; 20 for creation was made subject to futility, not of its own accord but because of the one who subjected it,(O) in hope 21 that creation itself would be set free from slavery to corruption and share in the glorious freedom of the children of God.(P) 22 We know that all creation is groaning in labor pains even until now;(Q) 23 and not only that, but we ourselves, who have the firstfruits of the Spirit, we also groan within ourselves as we wait for adoption, the redemption of our bodies.(R) 24 For in hope we were saved. Now hope that sees for itself is not hope. For who hopes for what one sees?(S) 25 But if we hope for what we do not see, we wait with endurance.
26 In the same way, the Spirit too comes to the aid of our weakness; for we do not know how to pray as we ought, but the Spirit itself intercedes with inexpressible groanings. 27 And the one who searches hearts knows what is the intention of the Spirit, because it intercedes for the holy ones according to God’s will.(T)
God’s Indomitable Love in Christ. 28 [e]We know that all things work for good for those who love God,[f] who are called according to his purpose.(U) 29 [g]For those he foreknew he also predestined to be conformed to the image of his Son, so that he might be the firstborn among many brothers.(V) 30 And those he predestined he also called; and those he called he also justified; and those he justified he also glorified.(W)
31 [h]What then shall we say to this? If God is for us, who can be against us?(X) 32 He who did not spare his own Son but handed him over for us all, how will he not also give us everything else along with him?(Y) 33 Who will bring a charge against God’s chosen ones? It is God who acquits us.(Z) 34 Who will condemn? It is Christ [Jesus] who died, rather, was raised, who also is at the right hand of God, who indeed intercedes for us.(AA) 35 What will separate us from the love of Christ? Will anguish, or distress, or persecution, or famine, or nakedness, or peril, or the sword? 36 As it is written:(AB)
“For your sake we are being slain all the day;
we are looked upon as sheep to be slaughtered.”
37 No, in all these things we conquer overwhelmingly through him who loved us.(AC) 38 For I am convinced that neither death, nor life, nor angels, nor principalities, nor present things,[i] nor future things, nor powers,(AD) 39 nor height, nor depth,[j] nor any other creature will be able to separate us from the love of God in Christ Jesus our Lord.
Footnotes
- 8:1–13 After his warning in Rom 7 against the wrong route to fulfillment of the objective of holiness expressed in Rom 6:22, Paul points his addressees to the correct way. Through the redemptive work of Christ, Christians have been liberated from the terrible forces of sin and death. Holiness was impossible so long as the flesh (or our “old self”), that is, self-interested hostility toward God (Rom 8:7), frustrated the divine objectives expressed in the law. What is worse, sin used the law to break forth into all manner of lawlessness (Rom 8:8). All this is now changed. At the cross God broke the power of sin and pronounced sentence on it (Rom 8:3). Christians still retain the flesh, but it is alien to their new being, which is life in the spirit, namely the new self, governed by the holy Spirit. Under the direction of the holy Spirit Christians are able to fulfill the divine will that formerly found expression in the law (Rom 8:4). The same Spirit who enlivens Christians for holiness will also resurrect their bodies at the last day (Rom 8:11). Christian life is therefore the experience of a constant challenge to put to death the evil deeds of the body through life of the spirit (Rom 8:13).
- 8:14–17 Christians, by reason of the Spirit’s presence within them, enjoy not only new life but also a new relationship to God, that of adopted children and heirs through Christ, whose sufferings and glory they share.
- 8:15 Abba: see note on Mk 14:36.
- 8:18–27 The glory that believers are destined to share with Christ far exceeds the sufferings of the present life. Paul considers the destiny of the created world to be linked with the future that belongs to the believers. As it shares in the penalty of corruption brought about by sin, so also will it share in the benefits of redemption and future glory that comprise the ultimate liberation of God’s people (Rom 8:19–22). After patient endurance in steadfast expectation, the full harvest of the Spirit’s presence will be realized. On earth believers enjoy the firstfruits, i.e., the Spirit, as a guarantee of the total liberation of their bodies from the influence of the rebellious old self (Rom 8:23).
- 8:28–30 These verses outline the Christian vocation as it was designed by God: to be conformed to the image of his Son, who is to be the firstborn among many brothers (Rom 8:29). God’s redemptive action on behalf of the believers has been in process before the beginning of the world. Those whom God chooses are those he foreknew (Rom 8:29) or elected. Those who are called (Rom 8:30) are predestined or predetermined. These expressions do not mean that God is arbitrary. Rather, Paul uses them to emphasize the thought and care that God has taken for the Christian’s salvation.
- 8:28 We know that all things work for good for those who love God: a few ancient authorities have God as the subject of the verb, and some translators render: “We know that God makes everything work for good for those who love God….”
- 8:29 Image: while man and woman were originally created in God’s image (Gn 1:26–27), it is through baptism into Christ, the image of God (2 Cor 4:4; Col 1:15), that we are renewed according to the image of the Creator (Col 3:10).
- 8:31–39 The all-conquering power of God’s love has overcome every obstacle to Christians’ salvation and every threat to separate them from God. That power manifested itself fully when God’s own Son was delivered up to death for their salvation. Through him Christians can overcome all their afflictions and trials.
- 8:38 Present things and future things may refer to astrological data. Paul appears to be saying that the gospel liberates believers from dependence on astrologers.
- 8:39 Height, depth may refer to positions in the zodiac, positions of heavenly bodies relative to the horizon. In astrological documents the term for “height” means “exaltation” or the position of greatest influence exerted by a planet. Since hostile spirits were associated with the planets and stars, Paul includes powers (Rom 8:38) in his list of malevolent forces.
Copyright © 1989 by Biblica
The ESV® Bible (The Holy Bible, English Standard Version®), © 2001 by Crossway, a publishing ministry of Good News Publishers. ESV Text Edition: 2025.
Bayibuli Entukuvu, Endagaano Enkadde nʼEndagaano Empya Copyright © 1984, 1986, 1993, 2014 by Biblica, Inc.® Tuweereddwa olukusa okuva mu Biblica, Inc.® Olukusa lwonna mu nsi yonna lusigalidde mu Biblica, Inc. Luganda Contemporary Bible Copyright © 1984, 1986, 1993, 2014 by Biblica, Inc.® Used by permission of Biblica, Inc.® All rights reserved worldwide.
Scripture texts, prefaces, introductions, footnotes and cross references used in this work are taken from the New American Bible, revised edition © 2010, 1991, 1986, 1970 Confraternity of Christian Doctrine, Inc., Washington, DC All Rights Reserved. No part of this work may be reproduced or transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical, including photocopying, recording, or by any information storage and retrieval system, without permission in writing from the copyright owner.
