Font Size
Wafilipi 1:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Wafilipi 1:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
4 Kila wakati ninapowaombea ninyi nyote, daima ninawaombea kwa furaha. 5 Ninamshukuru Mungu kwa namna mlivyonisaidia nilipokuwa ninawahubiri watu Habari Njema. Mlinisaidia tangu siku ya kwanza mlipoamini mpaka sasa. 6 Nina uhakika kwamba Mungu, aliyeianzisha kazi njema ndani yenu, ataiendeleza mpaka itakapomalizika siku ile ambayo Kristo Yesu atakuja tena.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International