Font Size
Wafilipi 1:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Wafilipi 1:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 katika sala zangu zote, nikiomba kwa furaha 5 na shukrani kwa ajili ya ushi rikiano uliopo kati yetu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo. 6 Nina hakika kwamba, yeye aliyeianza kazi yake njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha siku ile ataka porudi Yesu Kristo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica