Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; na Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wot e, aliye juu ya wote, anayefanya kazi katika yote na aliye ndani ya yote. Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo alichogawiwa na Kristo.

Read full chapter