Font Size
Waefeso 2:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 2:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Kwa kutoa mwili wake pale msalabani, ali patanisha jamii zote mbili na Mungu; na kwa njia hiyo akaua ule uadui uliokuwepo kati yao. 17 Alikuja akahubiri amani kwenu ninyi watu wa mataifa ambao mlikuwa mbali na Mungu, na pia kwa wale waliokuwa karibu na Mungu. 18 Kwa maana, kwa kupitia kwake, sisi sote, Wayahudi na watu wa mataifa, tunaweza kumkaribia Baba katika Roho mmoja.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica