Agano La Kwanza Na Agano Jipya

Basi hata lile agano la kwanza lilikuwa na kanuni zake za ibada pamoja na mahali pa kuabudia hapa duniani. Hema la kuabu dia liliandaliwa likiwa na chumba cha kwanza ambamo mlikuwa na chombo cha kuwekea taa, na meza na mikate iliyowekwa wakfu. Chumba hiki kiliitwa Patakatifu. Nyuma ya pazia la pili, pali kuwa na chumba kiitwacho Patakatifu pa Patakatifu.

Read full chapter