Font Size
Ufunuo 22:12-14
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 22:12-14
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
12 “Sikiliza, nakuja upesi! Nakuja na ujira ili kumlipa kila mtu sawa sawa na matendo yake. 13 Mimi ni Alfa na Omega, wa Kwanza na wa Mwisho, Mwanzo na Mwisho.
14 Heri walioosha kanzu zao.[a] Watakuwa na haki ya kula chakula kutoka kwenye mti wa uzima. Wanaweza kuingia katika mji kwa kupitia katika malango yake.
Read full chapterFootnotes
- 22:14 walioosha kanzu zao Wamefua kanzu zao. Inamaanisha kwamba walimwamini Yesu na wamesafishwa dhambi zao kwa sadaka ya yake ya damu. Tazama Ufu 5:9; Ebr 9:14; 10:14-22; Mat 22:16; 1 Yoh 1:7.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International