Add parallel Print Page Options

27 Watayatawala mataifa kwa fimbo ya chuma. Watayavunja vipande vipande kama vyombo vya udongo wa mfinyanzi.[a] 28 Watakuwa na nguvu ile ile niliyoipokea kutoka kwa Baba yangu, na nitawapa nyota ya asubuhi. 29 Kila anayesikia hili azingatie kile ambacho Roho anayaambia makanisa.

Read full chapter

Footnotes

  1. 2:26-27 Mistari hii inafanana na Zab 2:8-9 (tafsiri ya Kiyunani).